HISTORIA YANGU KATIKA NETWORK MARKETING
Mwanzoni mwa mwaka 2019 nilikuwa nikipenda sana kujikita kati mtandao huku nikiwa najituma sana na nikitumia simu yangu janja aina ya TECNO F1
Wakati huo niliamini kuwa watu wananufaika katika mitandao na wanatengeneza kipato katika mitandao hivyo ikanitia nguvu kujiwekeza zaidi katika mitandao, wakati huo ujuzi wa mtandaoni na ushawishi wa kuingia katika mitandao niliupata kutoka kwa rafiki yangu mmoja aliyeitwa *Anord Joseph*
Yeye alikuwa ni mtaalamu wa mambo ya youtube hivyo akaniaminisha kuwa youtube kunapesa, basi hata mimi nikaanza kujikita huko
Nilifanya kazi za youtube kwa moyo wangu wote kisha na nikapitia changamoto kadhaaa, niliweza kujenga familia na uhusiano mzuri na watu kadhaaa wa kadhaaa bila kumsahau SALUM BELLE Yeye alikuwa mrusha maudhui katika mtandao wa Youtube kupitia channel yake ya BELLE TECH na mimi nikafuata nyayo zake kwa kurusha maudhui katika channel yangu ya BEEZ TECH. Nilijituma sana youtube kisha nikawa sina mafanikio kwa bahati mbaya channel yangu ikiwa na wafuazi 19000 iliweza kudukuliwa na wadukuzi, hapo safari yangu ikakomea hapo nikiwa sijatengeneza pesa yoyote ile 😩😩
*NINI KILIFUATA BAADA YA HAPO?*
Baada ya hapo nikiwa na simu janja yangu nikadhamilia kuanza safari upyaa kutoka chini kabisaaa nikiwa naendelea kupambana nikagundua safari ilikuwa haina mafanikio,
Baadae nikakutana na rafiki yabgu mmoja ambaye nimesoma naye shule moja, akiwa nafanya kazi katika platform au jukwaa la kuingizq pesa mtandaoni lililojulikana kama MULLA EMPIRE jukwaa hili lilikuwa la kutokea Kenya.
Alijaribu kunishawishi sana na mimi kujumuika naye lakini ilikuwa ngumu sana kwangu kwa sababu nilitawaliwa na woga sana, kwa wakati huo piaa nikiwa na ujuzi wa mtandaoni nikitambua uwepo wa watu kutapeliana kiuhalisia nilikuwa na woga sanaa. 😂😂😂
Kiufupi ilinichukuaa wiki kama tatu hivi kumuamini na kuanza kutengeneza pesa katika majukwaa ya affiliate marketing.
Safari hii ilikuwa ni ya changamoto nyingi huu ni ukweli usiofichika kwa sababu aliyenishirikisha alinambiaaa kuwa *"ukitaka kufanikiwa inatakiwa ualike watu"*
Ukizingatia hata yeye mwenyewe alikuwa bado mwanafunzi kazini, kwakuwa nilikuwa nimedhamiria kufany kazi haikunidisapoint hata kidogo. Katika jukwaa lile nilijiunga kwa shilingi 13,000/= lakini nilipata kiweza kuingiza pesa 6000/= tuu 😂😂 nikahisi kujutiaaa. Kiufupi nilikata tamaaa.
Baadae nikiwa nimekata tamaa nikawa naona watu wakipoat Status kuwa wanatengeneza pesa mtandaoni na baadae nikagundua kuwa ni kweli pesa zipo ila mimi sijapata mtu wa kunifunza .
Sasa baada ya kulitambua hilonikakutana na *Mentor EustohKE* Huyu alinifundisha kila kitu ambacho alinitaka nifanye, nikazingatia kila kitu alicho nifunzisha
Ndipo kwa mara ya kwanza nikajiunga na PLATFORM moja ikiwa chini ya management ya *CEENET MANAGEMENT* PLATFORM hii ilijulikana kwa jina la *SHEER TECHNOLOGIES* Hapa nilifanya kazi ndani ya mwezi mmoja nilipata kiasi cha shilingi 500,000/=
Mafanikio hayo niliyapata nikiwa namiliki simu aina ya TECNO F1 ambayo uwezo wake sio mkubwa. Kupitia hiyo simu ndipo nikaweza kupata simu nyingine yaani nilinunua simu mpyaaa yenye uwezo mkubwa zaidi ndipo nikaanza kufanya kazi kwa USERIOUS mkubw sanaaa
Baada ya Sheer Technologies nikaja nikafanya platform moja ilikuwa initwa *SECURE EARN TECHNOLOGIES*
Secure earn niliifanya na kujipatia kiasi cha shilingi 1,300,000/= ndani ya mwezi mmoja.
*Nimefanya kazi ya networking katika majukwaa mbalimbali*
1️⃣MULLA EMPIRE niliifanya na nikapata mafanikio ya Tsh 6000/=
2️⃣SHEER TECHNOLOGIES niiliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 500,000/=
3️⃣SECURE EARN TECHNOLOGIES niliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 1,300,000/=
4️⃣EASY EARN TECHNOLOGIES niliifannya na kupata mafanikio ya Tsh 1,300,000/=
5️⃣ PATAQASH TECHNOLOGIES niliifanya na kupata faida ya Tsh 2,700,000/=
6️⃣TRIPPLE EARN TECHNOLOGIES
Niliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 5,400,000/=
7️⃣SUPPER EARN TECHNOLOGIES
Niliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 7,500,000/=
8️⃣ VUNAQASH TECHNOLOGIES
Niliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 5,000,000/=
9️⃣ANADA TECHNOLOGIES Niliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 4,300,000/=
🔟DIGITAL EARN TECHNOLOGIES Niliifanya na kupata mafanikio ya Tsh 5,000,000/=
1️⃣1️⃣ ZEKUSA TECHNOLOGIES niliifanya na kufikia mafanikio ya Tsh 4,800,000/=
1️⃣2️⃣DREAMLINE TECHNOLOGIES nilifanikiwa kutengeneza 3,800,000/=
1️⃣3️⃣ QASHSITE TECHNOLOGIES 4,500,000 na ninaendelea kupiga kazi
SASAHIVI NINABISHARA ZANGU NA NIMEAJIRI WATU ZAIDI YA 10, KUHUSU MAISHA YAKO POA KABISAAA.
SIMU SASAHIVI NATUMIA YA MILIONI TANO na zamani nilikuwa naitumia simu ya 150,000/=
ONLINE BUSINESS PAYS.
Mpaka sasahivi mafanikio yamekuwa ni makubwa sanaa haya kwa upande wa maisha yangu binafsi asilimia kubwa yamewezeshwa na mtandao
Nikiwa kama ZENOBEEZ nafurahi sana kuona kuwa nimeweza kuwasaidia vijana wenzangu wengi sana kuweza kubadilisha maisha yao kupitiaa mtandao
*NINI SIRI YA MAFANIKIO?*
1️⃣Utayari wa kutaka kufanikiwa na sikupenda maisha magumu, kwa maana nikiwa kabla sijaenda masomoni chuo niliishi mtaani so nilipata uzoefu wa maisha yalivyokiwa magumu kwahiyo nikawa nawaza vipi nikimaliza chuo nikarudia maiaha magumu yaleyale kama ya zamani?
2️⃣ Niliziabgatia sana mafunzo yote ambayo nilikuwa napew, na kwakuwa nilipanga kufanikiwa sikuwahi chukulia kazi ya mtandao kwa njiaa hasi mawazo hasi yote niliyatokomeza, niliaamini katika kufanikiwa na nilijuaa kila mtu anaweza kufanikiwa mtandaoni
3️⃣Uvivu niliutupa mbali kabisaa sikuuwekeza katika maisha yangu
4️⃣Malengo makubwa piaa ni utajiri yaani kila nikifikiria maisha magumu nawaza kufanya kazi zaidi bila kukata tamaa
5️⃣ Channgamoto ziliponijia nilikubali na niliweza kuzipokea hivyo hazikunipa ugumu katika kukabiliana nazo
KAMA UMEVUTIWA NA WEWE UNAHITAJI KUFANYA KAZI HII YA MTANDAO BOFYA HAPA
KATIKA KAZI HII NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA
SABABU KUU ZINAZOSABABISHA WATU WENGI KUFELI KATIKA NETWORKING
⛔TAMAA YA MAFANIKIO hapa wengi tunasahau kuwa mafanikio ni swala la mchakato
⛔KUHAMAHAMA MANAGEMENT YAANI KAMPUNI ZA NETWORKING PLATFORM. Hii inaweza chukuliwa kawaida sana ila ni sababu kubwa sana ya watu kufeli na kuwa domant yaani kuwa watu wasio na muendelezo katika networking, unapohamahama management unafanya brand yako isikue badala yake unaanza kuijenga upyaaaa. Ndiyo maana unaona Tigo hajawahi tamani kuwa na bidhaa kama za Bakhresa
⛔UVIVU. Wengi huwa wanakuwa wavivu katika swala la kujifunza hii hupelekea kutokuwa na hatua katika maendeleo.
*Regards ZENOBEEZ mentor and C.E.O QASHSITE Technologies*